Msaada wa Kisheria ili Kuishi Vizuri
Your Story: Legal Aid to Live Well

Joy Rahab Sinclair
Joy Rahab Sinclair

Katika kipindi hiki, Your Story’s Wakili mkuu, Sifa Mtango anaelezea jinsi watu wenye ulemavu wanavyoweza kupata usaidizi wa kisheria wa bure na huru ili kushiriki hadithi yao na Disability Royal Commission, na kuunganishwa na huduma za ushauri na utetezi. The Disability Royal Commission inaendelea hadi Septemba 2023.

Your Story Disability Legal Support ni huduma bure ya msaada wa kisheria ya huru ambayo inapatikana kwa watu... read more

In this episode, Your Story's Senior Solicitor Sifa Mtango explains how people with disabilities can access free, independent legal support to share their story with the Disability Royal Commission, and be linked to counselling and advocacy services. The Disability Royal Commission is running until September 2023.

Your Story Disability Legal Support is a free and independent legal support service available to people with... read more